Mbona kawaida sana hiyo movie? Je ungeona live ungefanyaje,???
Amani ni tunda la haki.....pasipo haki hakuna amani.Amani ni nini?
Kubabeki hata mbuzi wanapewa kipaumbele na cameraman.
Kweli inaumiza sana nakusikitisha!
PeaceAmani ni nini?
Jamaa alikuwa na muda wa kujiandaa, kakumbuka mpaka mbuzi..!
Unyama hatukuumbiwa wanadamu,na sio kawaida!Mbona kawaida sana hiyo movie? Je ungeona live ungefanyaje,???
Duh ... Hata panga hujawahi kushika......Tunatakiwa na sisi tufikie huko angalau hata maramoja ili ccm waanze kutenda haki.Bila kuchapana tusahau utawala wa Sheria
Huenda wengine aliawaacha pamoja nakuku,Bata,Nguruwe,punda nk!Jamaa alikuwa na muda wa kujiandaa, kakumbuka mpaka mbuzi..!
Kuchinja tuu kuku anaogopa!Duh ... Hata panga hujawahi kushika......
Waliopa madarakani wanaweza kufanya hivyo haki na usawa au kuharibu. The ball is in their coutNi kweli kabisa. Ila tunapaswa kulinda zaidi haki na usawa kwa wote kwa maana ndio vinaizalisha hiyo amani.
Ila sisi tuna nyama..... NI WANYAMA.Unyama hatukuumbiwa wanadamu,na sio kawaida!