Hii trade ya Doncic na AD tutegemee nini NBA League msimu huu

kali linux

JF-Expert Member
May 21, 2017
2,188
5,674
Duuh hii trade kama masihara vile ila ndio hivo, Luka Doncic kaja Lakers na AD kaenda Mavs.

Msimu huu patachangamka sana.

RRONDO
 
Eeeh!! wajamenii kwamba ndo hakuna mpenzi wa basketball zaidi ya jamaa mwenye uzi wake!!? msifanye hivyooo
 
Duuh hii trade kama masihara vile ila ndio hivo, Luka Doncic kaja Lakers na AD kaenda Mavs.

Msimu huu patachangamka sana.

RRONDO
Mark Cuban angekuwa bado anamiliki hii timu asingefanya hiyo trade. Walioinunua timu ni wafanyabiashara. Luka ana contrct kubwa sana. I guess jamaa hawataki kumpa hiyo hela.
 
Back
Top Bottom