Kitendo cha CCTV camera za Azam complex kuwaumbua,kumewafanya waamini kuwa hawatatoboa licha ya kuwa na wachezaji bora.
Inashangaza wao kuamua kuhama uwanja kwa sababu za kishirikina na si za kimpira maana hawajalalamika kuwa wamenyimwa kufanya mazoezi katika uwanja huo.
Najiuliza je,siku wapinzani wao wakiuchagua uwanja wa Azam kama wa nyumbani tutarajie watafungwa tena goli 3?
Hii ni aibu kwa club inayojinasibu kubwa kuishi kwa kutegemea uchawi na ushauri wa wachawi na sio ushauri wa mwalimu na wasaidizi wake.