Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,379
- 7,993
Habarini,
Kwenye jamii imezoeleka kuwa mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume sahivi ni janga kubwa, miaka ya sasa changamoto kubwa ya kimalezi inakuwa ya wazazi kumchunga sana mtoto wa kiume kuliko wa kike.
Ila kuna ishu ambayo haisemwi sana ya usagaji (wadada kushiriki ngono wenyewe kwa wenyewe) nafikiri hii tabia ni kubwa kuliko inavyofikiriwa, na ni ngumu watu kushtukia viashiria
Ukiachana na skendo ya juzi ya usagaji ya mwimbaji wa nyimbo wa injili, kuna page nliingia fb nikaona baadhi ya wadada wanakiri kuwa wanafuatwa inbox kwenye mitandao ya Facebook na Instagram kutongozwa kimapenzi na wanawake wenzao.
Nimeshangaa kweli, mm mwanaume tangu nizaliwe sijawahi fatwa inbox kutongozwa na mwanamke, ila wadada mtandaoni wanatongozwa na wadada wenzao, wadada wengine utaona wanapost whatsapp status wanatoana out kwenye expensive dates (as if wanaume wa kutoka nao out hawapo), wanakodi chumba hotelini na wanaenda vacation pamoja unadhani ni ma bff kweli, kumbe utakuta most of the times wanasagana, ni nguvu gani iliopo kwenye hii tabia wajameni 😶