Hii tabia wanaume tukome

hahahaha waache jamani. mtu sio mjinga bhana akae peke yake wakati yeye sio mchawi..mtu unajidistance ujipe raha
 
Dah! Kweli kabla hujafanya lolote ni vema ukatafakari. Sasa mtu kajitenga kwa muda unamfuata mbio mbio kwa nini? Aaargh, wacha ukutane tu na ushuzi maana umeyataka!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…