emmarki
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 898
- 1,261
KAMISHENI YA MIKOPO TAHLISO
06/11/2023
MASWALI YANAYOULIZWA KUTOKA KWA WANAFUNZI WANAOENDELEA NA MASOMO WALIOOMBA MKOPO, ( CONTINUING STUDENTS )
1. Mimi ni mwaka wa pili nimeomba mkopo lakini nimeandikiwa kujiandaa na zoezi la kukata rufaa, lakini bado Batches za continuing students hazijatoka, nifanyeje?.
JIBU Batch ya continuing students walioomba mkopo itatangazwa Novemba 10, 2023. Kuhusu kukata rufaa, wanafunzi hawa wasihangaike na rufaa ingawa mfumo hauwazuii, hivyo wawe wapole kwakuwa dirisha la kukata rufaa haliwahusu.
2. Mim naendelea na masomo na nimeomba mkopo, kwanini nimetumiwa ujumbe wa kukata rufaa na bado sijapangiwa Mkopo?
JIBU. Wanafunzi wote wanaosoma shahada ya kwanza, wameomba mkopo kupitia dirisha moja ( same window ) kwahyo, chochote kinachotokea katika mfumo kinaenda kwa wanafunzi wote walioutumia mfumo huo, lakini katika suala ku respond linategemea hatua aliyopo mwanafunzi husika, unaendelea na masomo, umetumiwa ujumbe wa kukata rufaa, batch yako haijatoka, usikate rufaa, kwasababu haiathiri chochote katika maombi yako.
Imetolewa na
Cde Agustine Hamli
Kamishna wa Mikopo na Ufadhili TAHLISO 2023/2024
0653297162