Hii sijui imekaaje

Kwani yeye alitaka kufanya nini? Maana tayari alikuwa anarahisishiwa safari au hakuwa amejiandaa
 
Hii njia mpya ya safari haiendani na kasi ya njia yake ya safari aliyokuwa ameipanga hapo mwanzo.
 
hapo ndipo safari ya matumaini inapobadilika na kuwa safari ya mabadiliko
 
Kwani yeye alitaka kufanya nini? Maana tayari alikuwa anarahisishiwa safari au hakuwa amejiandaa
Jamaa kagongwa na nyoka kichwani ... ili sumu isisambae mwilini akafunga kamba shingoni... na sasa anaelekea hospital ... chezea uhai wewe!
 
Jamaa kagongwa na nyoka kichwani ... ili sumu isisambae mwilini akafunga kamba shingoni... na sasa anaelekea hospital ... chezea uhai wewe!
Hakugongwa na nyoka mkuu, ila alijitundika ili ajinyonge kuona nyoka hata sijui kafanyaje ile wasiwasi hadi kamba imekatika hivyo anakimbia nyoka asimgonge angalia na stuli ipo pembeni
 
Ha ha ha! The adrenaline effect, mtu anaweza kufanya jambo la ajabu akiwa kwenye state hiyo.
 
Aina nyingi sana za wanyama zinamgwaya huyu nyoka nafikiri hata Simba naye hapendi kumuona...binafsi sipendi kukutana naye ila akinikuta anga zangu nitamuua tu maana hakuna namna.
Sure!

Jamaa ana timing sana, ila ukimuwahi huwa hana ujanja.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…