MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 302
- 568
Habari...
Nyie Wanaume ambao hamjaoa uwe umepanga au unaishi kwenu hasa wenye umri kuanzia 30-47 tabia ya kuwatembele marafiki zenu waliooa bila taarifa huku mmevaa pajama mnamuonesha shemeji yenu hayo mapaja iliiweje?
Halafu mchana kutwa mnakuwa wapi hadi mnasubiri kagiza kaingie ndo mnajifanya mnaenda kumtembelea rafiki?
Hii tabia muache maramoja.