Hi ndio Tanzania stika za usalama barabarani zinauza na unaweza kuzipata hata bila gari kukaguliwa .
Ambao hawakununua mwanzo sasa wanakamatwa na kupigwa fine kisha kuuziwa stika bila gari kukaguliwa .
Dhana ya usalama wa magari yaliyopo barabarani inatoweka na kugeuka kuwa ya kuuza stika na kuwapiga fine wale ambao hawakununua baada ya kipindi fulani .
Turejee kwenye dhana ya kuhakikisha magari yote yanayotembea barabarani ni mazima na salama kuliko hili la kuuza stika na kupiga fine kwa ambao hawajanunua.
Hii haitusaidii kuhakikisha usalama barabarani .