Hii ndiyo route itakayotumika katika maandamano ya 'Samia Must Go' tarehe 23/09/2024

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Apr 12, 2018
2,636
4,680
Haya shime wale tunaoitakia mema nchi yetu tuungane sote kupaza sauti zetu, ili kukemea maovu ya serikali ya Samia. Maandamano ni haki yetu kikatiba, Tupo tayari hata ikitupasa kufa kwa ajili ya nchi yangu. Tukutane Magomeni

GX_ylvsXcAAV16c.jpeg
 
Naamini yatakuwa na Amani na yatalindwa na jeshi la Polisi. Mbowe ni mtu wa busara sana,amepevuka.
 
Haya shime wale tunaoitakia mema nchi yetu tuungane sote kupaza sauti zetu, ili kukemea maovu ya serikali ya Samia. Maandamano ni haki yetu kikatiba, Tupo tayari hata ikitupasa kufa kwa ajili ya nchi yangu. Tukutane Magomeni

View attachment 3102103
Uzuri ruti hii tutatembelea humu humu JamiiForums, sidhani kama kuna kiroboto mwenye ujasiri wa kuingia barabarani kwenda kuharibiwa viungo vyake na Polisi.
 
Haya shime wale tunaoitakia mema nchi yetu tuungane sote kupaza sauti zetu, ili kukemea maovu ya serikali ya Samia. Maandamano ni haki yetu kikatiba, Tupo tayari hata ikitupasa kufa kwa ajili ya nchi yangu. Tukutane Magomeni

View attachment 3102103
Angalizo cdm pangem safu tatu au nne za viongozi wa maandamano Nawajua mapolisi ccm mbinu yao

Itakuwa ni kuwakamata viongozi siku ya j2 na kuwapa kesi kama ya boni

Enyi viongozi msilale kwenye nyumba zenu lakini ikitokea mkakamatwa kuwepo safu nyingine ya kuongoza maandamano,

Ikitokea safi ya pili imekamatwa ijitokeze safi ya tatu
 
Back
Top Bottom