Hii ndio siri ya Leicester Fc katika EPL

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,945
67,564
Ndio maana wanaongoza ligi pale England




 

Attachments

  • IMG_20151219_194757.jpg
    59.3 KB · Views: 1,186
  • IMG_20151219_194809.jpg
    31.6 KB · Views: 1,117
  • IMG_20151219_194803.jpg
    50.7 KB · Views: 1,126
Van Gal alitaka kuintroduce hiyo mambo mwaka jana sijui iliishia. Anyway...inawafanya waconcentrate zaidi na zaidi kwenye kile wanachikifanya.
 
Uchawi Hauna Nguvu Kwenye Soka. Hizo Ni Imani Tuu. Mbona Bagamoyo na Sumbawanga Hawana Timu Za Ligi KUU?
 
chelsea mbona walileta mganga kama Dr baada ya yule dem kusepa lakini bado kipigo kikaendelea kuwatembelea hao mda wao bado wata nyooka tu
 
Uchawi Hauna Nguvu Kwenye Soka. Hizo Ni Imani Tuu. Mbona Bagamoyo na Sumbawanga Hawana Timu Za Ligi KUU?
nani kakwambia kuna uchawi wa mpira bagamoyo na sumbawanga? uchawi una aina zake, mvua,misukule, mpira, pesa,biashara nk, uchawi ni tasnia pana.......
 
wazungu wachawi balaa wametuloga ndio maana wanatutawala mpaka leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…