Director D
Senior Member
- Feb 24, 2016
- 192
- 229
Duuu
Girls are funny creatures.They hate it when you ask their age but will kill you if you forget their birthday!!!
umekua Nyani NgabuGirls are funny creatures.They hate it when you ask their age but will kill you if you forget their birthday!!!
Haya ngoja nitafsiri... ila mbona naskia English ni lugha ya kuwavuta kinadada?umekua Nyani Ngabu
wakina dada hawaangalii English wanaangalia pochi vipi imenonaHaya ngoja nitafsiri... ila mbona naskia English ni lugha ya kuwavuta kinadada?
2017-1988=25................? kajifunze hesabu kijanaWema ana miaka 25yrs,,,huwa hana hiyana kutaja umri wake,,,kwa ilo anastahili pongezi
Pochi yenyewe sina....wakina dada hawaangalii English wanaangalia pochi vipi imenona
Una umri gani?Kama kuna kitu ambacho watu wengi hawapendi watu wengine wawajue basi ni umri wao
hivyo katika harakati za kufatilia suala hili ili kujua ni ipi hasa sababu nikagundua kuwa watu ambao hawapendi kujulikana umri wao kwa sababu
1.Ni watu wenye umri(miaka) mingi sana kuzidi mafanikio waliyonayo katika maisha yao
Ndio maana wale wenye mafanikio katika umri mdogo ni rahisi sana kutaja umri wao.