Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 7,733
- 19,577
Wakuu Habari zenu?
Niingie kwenye mada moja kwa moja, Naona hii ndio sababu ya kuwa na maprogrammer uchwara wamzee wa kucopy hawaanzagi kuandika code from the beginning hata uwape bei gani, wao ni mwendo wa nipe wiki mbili tunamaliza faster kumbe anaangaika na kumodify code za watu.
Sababu kubwa nilioiona ni kwamba mfano mtu wa computer science wengi wao, computer wamekuja kumiliki na kuanza kujifunzia chuoni mwaka wa kwanza semester ya 2, sasa hapo baadhi ya vitu anashindwa kuvicover kwa wakati , ndio maana watu hao wanaojiita maprogrammer hapa bongo watu wanasema hakuna watu kama hao, na ili uwe programmer , ongezea miaka mingine 7 huko baada ya kumaliza, Sasa hautaweza maana unatakiwa huwe na familia ,na ujitegemee utasoma saa ngapi? Utatafuta hela saa ngapi?
Lakini ungekuwa tayari kuanzia o’level pale nakuendelea hata primary huku tu,kwamba tayari wewe computer unaijua vizuri Hapo ingekuwa rahisi sana kwa wewe kuandika code,sio mpaka uende wakakufundishe chuo pale kuanzia kila kitu,
Na kama ulianza kuifatilia computer mpaka chuo unakuwa bora tofauti na mtu ambae amekuja kusoma chuo kuna mawili anaweka kuendelea na code au akakimbia maana ni mtu alikwa ajui chochote.ingawa nchi ilimwamini huyu anaweza kuwa programmer wa baadae.
Kwenye kuchagua chuo wanaona kama umefaulu vizuri PCM yako unaweza kusoma tu computer science,lakini na wewe pia unakuwa haujui utaenda kufanya nini kule , unamaliza chuo unaanza kulaumu watu na wakati ulichagua mwenyewe, haujalazimshwa maana mnadanganyana kwamba inaela sana hii course.
Naonaga sana kwa baadhi ya taharuma mfano sheria, mwalimu wa sheria anakiofisi chake chakusaidia watu kwenye sheria lakini hawa walimu wa programming mbona hata kuwasikia wanamiliki app pale app store ya kuandika dalili za magojwa halafu iseme unaumwa ugojwa gani wanashindwa.wanabaki wanatuongepea darasani,hahah.
Watu wanaoenda kusomea programming mara nyingi hawana passion nayo ila wanafata mkumbo ,huku kuna hela mwisho wa siku anashindwa kukomaa maana hela alizoambiwa hazioni mpaka ubuni cha kwako au uaminike maana sio kama course nyingine wengine wakitoka tu chuo wao wanaweza kufanya kazi, wewe sasa programmer ufungue daftari tena wakati ulimaliza , maana likizo ukirudi nyumbani wewe unakaa haupractice chochote kwenye code.
Sijajua nini kifanyike kuinusuru hii course. Ni hayo tu wakuu.