Hii ndio picha yangu ya karne

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
14,771
42,940
Hii picha inaongea mengi kuhusu Africa.

Ina maana zaidi ya mia moja.

Kila msomaji wa hii picha anaipa maelezo yake kulingana na mazingira na ufahamu wake.

FB_IMG_16638652625392174_122205.jpg
 
Kigoma kabisa hii nyumbani.

Hapo omba mvua isinyeshe,

Mvua ikinyesha njia haifai tena kutumika kama njia ya usafiri, sana sana mvua ikinyesha watoto wanaigeuza hiyo njia sehem ya kusererekea.

Hapo hata gari hakuna huko, na kama ipo ni ile inatoka alfajiri inarudi jioni au kesho asubuhi maana mto umejaa na daraja halipitiki.
 
Nope sio Afrika... Duniani na akili finyu za Binadamu

Tunahangaika na Mazingira / Ukame kwa kukosa miti, deforestation n.k. Yet bado tunakata miti na kutumia mkaa...

Shitting where we are eating..., so to speak....
 
Kwann serikali yetu iko kimya misitu inateketea.fika handen na kilhnd utalia
 
Kwann serikali yetu iko kimya misitu inateketea.fika handen na kilhnd utalia
Ni Kosa la Serikali kwa Nchi yenye vyanzo lukuki kwanini isifanye nishati bei rahisi ili kila mtu apikie umeme (ingawa sio wote waharibifu ni kwa ajili ya nishati)

Ingawa ni kosa pia la yule anayekata sababu ni mbinafsi na hajali athari au matatizo anayowaachia kizazi cha kesho...,
 
Mkaa unalipa kuna Jamaa darasa la 7 anashusha bangaloo kwa biashara hio anamiliki vilikuu kadhaa na mabaja kwa ajili ya kusambaza mkaa tu, vijana tujiajiri kuchoma mkaa hakuhitaji uende VETA
 
Back
Top Bottom