Huwezi kuamini lakini ni kweli, tangu mwaka 2020 njia zote za usafiri wa Umma nchini Luxembourg kama vile mabasi na treni ni BURE kabisa.
Ilianza rasmi mwaka 29 Februari 2020, ambapo malipo kwa usafiri wa Umma yalifutwa kwa wakazi na hata watalii wanaotembelea nchi hiyo, maneno mengine hauhitaji kununua tiketi kwa ajili ya usafiri wa ndani.
IKiwa na eneo la Kilomita za Mraba 2,586 Luxembourg ni nchi ya saba kwa udogo barani Ulaya ikiwa na idadi ya watu 672,050.
Credit: BONGO 5