matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,815
- 18,970
Dini ni uhusiano wa karibu sana kati ya Mtu na mwenyezi Mungu bila kuwepo na kitu chpchote kati yako na Mungu.
Uhusiano huu ndio aliokuwa nao Adam baada ya kuumbwa.
Hakukuwa na Mchungaji siku hiyo wala shehe.
Hakukuwa na Baba wala Mama
Hakukuwa na Serikali
Hakukuwa na marafiki.
Hawa wote hapo juu, kazi yao moja ni kuhakikisha wanaimarisha dini yako yaani mahusiano yako na mwenyezi Mungu bila kupenya na kujipa umuhimu kati yako na Mungu.
Hii ndio mqana yangu mpya ya Dini, ambayo ntatembea nayo kuanzia mwakani. Ukisikiq nimeacha mambo ya Dini ujue nimeacha hii connection.
Madhehebu na dhehebu langu linahii kazi tu ya kuhakikisha hakuna chochote kinanitoa hapo, na kupitia watumishi wake kulea huu uhusiano.
Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi.