Hii ndio 'best collabo of all time' kwangu

SirBonge

JF-Expert Member
Jul 18, 2010
378
435
Kwa sie tuliokuwepo kipindi hicho, mtakubaliana na mimi kwamba hii collabo ilikuwa moto wa kuotea mbali, na mpaka leo ukiisikiliza bado ina ladha murua. I wonder huyu jamaa yuko wapi siku hizi....

 
Elimu dunia- daz baba ft afande sele ft ferouz.
Nipe tano - daz nundaz
Yote maisha - madee ft majani
Ila majani jamani majani anajua huyu jamaa.
Yani nikisikia pale sikia sound halafu anaitika majani ma sauti zito yeyoo yeyoo
Watoto wa gheto toka underground.
Huu mziki umepotelea njiani aisee
 
Samahani dada naomba dakika yako moja tu nataka kuongea mimi na wewe,nataka nikueleze jinsi ambayo mi......huu wimbo kwenye Album ya Mikasi ya Ngwair
 
Collabo nyingi kali zimepita binafsi nikitaja moja tu nnakuwa sijazitendea haki nyingine
 
daz baba nishakuwa mtu mzima mie sasa nahitaji wife wa kuishi nami wakuzaa na kulea watoto na mie kwny shida na raha

Daz baba daz mwalimu ft marehemu ngwair …… wife
 
HII LEO-gk,ay,philipo nyandindi na snair.... hii nyimbo 1 tuu watu wa TMK wamejibu kwa zaidi ya nyimbo 10....lakini badooo...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…