Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,075
- 43,866
2018 kuna binti aliajiriwa kazini kwetu, ile first appointment.
Binti alikuwa anakuja kazini kwa daladala na kurudi kwa daladala.
Mshahara wake ulikuwa 700k ukiweka na posho ilikuwa kama 900k.
Kwakuwa alikuwa kitengo chenye mianya ya pesa nyingi na ninaijua michezo michafu yote ndani ya ofisi ile nikasema huyu binti hamalizi miezi 2 ataachana na daladala. Kweli muda mfupi akawa anakuja na boda asubuhi na jioni anarudi na boda. Kuja kazini na kurudi kwa siku alikuwa anatumia 20k baada ya wiki chache akaanza kukodi bajaji na tax, hivyo usafiri ulimgharimu sh. 30-40 kwa siku.
Baada ya miezi michache akaanza kupitia VETA alfajiri kujifunza gari. Amemaliza tu akavuta CROWN kipindi kile ilikuwa ikicheza 17 -20 million.
Wafanyakazi wakasema huyu binti kwao mboga 7, wana pesa.
Kama kwao wana pesa kwanini hakuja akiwa anajua gari?
Kwanini alipanda daladala na mwishowe kabla ya kumaliza mwaka akanunua gari?
Kwanini hakuja kuanza kazi akiwa na gari?
Kwanini nimeleta hii mada?
Mdau mmoja leo wakati tunajadili kuhusu utajiri wa NIFFER ambaye amesema kuwa alianza na mtaji wa elfu 40 na sasa ni tajiri.
Mdau akasema NIFFER ni wakishua tangu zamani, akimaanisha utajiri kaukuta kwa familia yake.
Je, Binti aliyetoka familia tajiri anaweza kupata wazo la kufanya biashara ya mtaji wa elfu 40?
Watoto wa matajiri mlimani city shopping wanabeba laki 5 mpaka millioni au zaidi na inaisha siku moja tu kununua vitu vidogovidogo.
Watanzania uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana