Habari wakuu.
Mimi ni msikilizaji mzuri sana wa redio. Kuna huu ujinga nausikia hapa mawingu FM kipindi "Ala za roho"
Aisee huyu mtangazaji sijui anawaza nini kufanya huu upuuzi, mbona Diva hakua hivi. Huyu jamaa anapigia watu simu online then wanaongea mambo yao ya mapenzi, mara anawapatanisha, mara anawataftia watu mademu yaani ni ukuwadi kabisa huu.
Aiseee sijapenda hii kitu, em nijipooze na kaswida mdogo mdogo.