Hii Mpya;muhimu Soma

mimi pia nilipita Game na nimeona maziwa yanauzwa tena bei rahisi sana kopo kubwa ni 20,000 tu, wanataka wamalize stock na wasilete tena, walikuwa wameziba ile logo ya kitoto na nikawauliza na wakasema serikali imekataza.
 
Mama zetu wa sasa hawataki KUZAA kwa njia za KAWAIDA wala KUNYONYESHA. Tuendelee tu kugombea haya maziwa kama mpira wa kona!
 
Mama zetu wa sasa hawataki KUZAA kwa njia za KAWAIDA wala KUNYONYESHA. Tuendelee tu kugombea haya maziwa kama mpira wa kona!

Sawa lakini haujatueleza hicho kikatuni/picha ina mahusiano gani na kilichomo ndani?
 
Jaribu GAME, japo ni expensive kuliko kwenye maduka ya kawaida, but I wonder kama yatakuwepo bado kutokana na demand kuwa kubwa.

Mama, asante kwa ushauri kwa wakazi wa Dar ( Game ni duka liliopo Dar) Na wa mikoani wafanyeje waungwana?....labda maziwa ya ng'ombe yatafaa?? au??
 
maziwa freshi ya ngombe wetu!!! mmmhh
ngombe wenyewe madaktari feki wa mifugo wanapewa dawa zote zilizoingia nchini, bila kujali ugonjwa, wanakamuliwa na maziwa kuuzwa bila kupimwa, hapo ndio bomu kabisaaa.
 
Maamuzi mengine hata yanatia kichefuchefu kuyasikia, hili hata linapita lile la Mama Ghasia (soma fujo na ukosefu wa amani) la kutaka wanawake wavae nguo za utamaduni wa kiarabu......or whatver she meant

Grrrrrrrrrrrr
Halafu hili ndilo linalonikera,Huyu Mama siku nikukatana naye uso kwa uso nitamwambia asituletee ambo yake ya Kidini,abaki na imani yake tu kama watanzania wengine..

Huu ndiyoo ubaya wa viongzoi wa kubebwa kwa mantiki ya Ushemeji.
 


Na mtuletee habari mpya kuhusu hizo S 26
 
Maelezo yangu hayana kikatuni/picha!

No,sio kwenye maelezo yako wewe,ila kutokana na maelezo yako ya post ya kwanza ina onyesha kukubariana ili biidi pia utupe maelezo ya hicho kikatuni/kikaragosi kilicho zibwa kwenye makopo ya yale maziwa je ni kwanini....? na kinahusiana vipi na mama zetu kutotaka kuzaa kwa njia ya kawaida na wale amabo wamezaa kwa njia ya kawaida inawahusu vipi hiyo burn
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…