cyrustheruler JF-Expert Member Jul 20, 2015 2,044 1,869 Apr 9, 2017 #1 Wataalam wa madawa ya miti shamba na mizizi waje hapa wanithibitishie hii ni mizizi ya nini na kazi yake gani?
Wataalam wa madawa ya miti shamba na mizizi waje hapa wanithibitishie hii ni mizizi ya nini na kazi yake gani?
kampelewele JF-Expert Member Oct 13, 2014 2,963 2,346 Apr 9, 2017 #2 Si ulisema unauza madawa ya kienyeji au umesahau
cyrustheruler JF-Expert Member Jul 20, 2015 2,044 1,869 Apr 9, 2017 Thread starter #3 Acha kuchanganya folder mkuu kama hujui kaa kimya tu
cyrustheruler JF-Expert Member Jul 20, 2015 2,044 1,869 Apr 11, 2017 Thread starter #6 petrocaptain said: Mkongoraaa huo Click to expand... Asantee umepata
cyrustheruler JF-Expert Member Jul 20, 2015 2,044 1,869 Apr 11, 2017 Thread starter #7 Mkongoraa kwa wanaume wanaotaka kulinda heshima ya ndoa zao tafuna kwa kumenya na kutafuna na karanga utaona matokeo yake kwenye shughuli ya kujenga jina
Mkongoraa kwa wanaume wanaotaka kulinda heshima ya ndoa zao tafuna kwa kumenya na kutafuna na karanga utaona matokeo yake kwenye shughuli ya kujenga jina