sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,292
Leo katika kuchezea chezea simu nimekutana na mitandao ya kujuana, kuwa marafiki, kupeana kampani na hata kutafuta wapenzi.
Sasa nmeingiza app inaitwa badoo, tagged na tinder zote naona bila malipo ni sawa na kutoweza kuzitumia.
Unakuta unataka umtumie mtu meseji inakwambia ulipie elf 30 kwa mwezi, Hii ni tofauti na nilivyodhani.
Au nyie huwa mnatumiaje, Je kuna mbadala?