Ni sawa na yule chizi aliyepanda juu ya mti na kuliminya embe, alivyogundua limeiva badala ya kulichuma kabisa, akashuka chini na kuanza kulivulumishia mawe alidungue!!
Serikali wakifanikiwa kuzima haya madude yanayoitwa viroba nitafanya sherehe ya kushangilia yaani unakuta kijana mdogo ana mapengo sura ya kizee mpaka huruma