technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,632
- 51,728
Nimefika nyumbani muda huu namkuta dogo yupo busy kwenye simu yake anatrade kwenye hii kampuni ya mtandaoni
Anadai nimsaidie ku withdraw na Mimi nikamwambia awatafute customer care wamsaidie lakini baada ya kuwatafuta wapo wanamzungusha tu
Badae nimemwambia aachane nao
Sasa najiuliza hii kampuni ni ya kweli Kama ni ukweli mbona Kuna ugumu wa ku withdraw pesa?