Anakuua anatumia nguvu ya neno kuua uwezo wako wa kujikubali.
Hayo maneno yameshaingia katika subconscious mind yako.
That is the reason nimekuona muda mwingi umekuwa negative kuhusu maisha , kuhusu mahusiano n.k
So haijalishi MTU ni nani Ila ukigundua yupo negative just stay away With him or her
"You can't Hangout with negative people and expect to live a positive life"
Pia huyo Dada m-trace MAISHA yake utagundua amekwama mambo mengi katika MAISHA ikiwemo watoto wake kutokuwa smart , PESA na n.k
So anatumia UCHAWI wa maneno mimi huwa nauita Negative energy kukuua kiakili , kihisia , na kiroho na kimwili
MTU anaweza kukuambia wewe mbaya haufai aliyakuwa unafaa na hauna ubaya so akitumia hiyo mbinu akarudia kila siku utaanza kujihisi haufai na ndo uchawi wa maneno huanzia napo and that shit words will sink in ur subconscious mind.and ruin ur life.
Ushauri
Jifunze kitu kinaitwa "Love from a distance " mpende MTU Ila kaa naye mbali.