Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,124
- 2,500
💕💕💕
hizi caption za fb rahisi sana kuzisemaZingatia zaidi unavyojiona wewe.View attachment 3063466
Labda wewe ndio mwepesi!hizi caption za fb rahisi sana kuzisema
mtu akiwa anakusengenya ni ngumu kutoudhika
kusengenya ni kusema mara kwa maraLabda wewe ndio mwepesi!
Mtu unamjua kabisa tabia yake ni mbovu halafu anakusema roho inakuuma? Ptuuu
Kuna watu wakikusema jweli inatakiwa ujiulize mara mbili
kusengenya ni kusema mara kwa mara
hiyo ni mbaya sana
SawaUsimtenge ila mpuuze. Sema punguza maingiliano yaso ya lazima. Onana nae kwa sababu maalumu na utumie mda mchache iwezekanavyo kuwa nae. Baada ya jambo lilikupeleka ondoka kupunguza sumu zake.
Sawausijali huyo ana matatizo binafsi m mtu kama huyo namkataa kimya kimya
Sasa mtu ukishamjua hiyo ni tabia yake kwanini uumie?
Ndio hapa caption ya min -me uliyoiita ya fb inafanya kazi