lusanasaimon
Senior Member
- Jan 19, 2023
- 108
- 264
Mambo vp wadau
niende kwenye swali dialect
Hivi nikwanini mwanaume anapo pata mwanamke (girlfriend) mwenye kauchumi kazuri akawa anamjali (kumuhonga) kama vile kumpa vipesa, kumnunulia mavazi nk. tena sometimes huyo mwanaume anampiga vimizinga akiwamba (kufulia) mwanamke anampa, inakuja kutafasirika niupendo?
Lakini kwa mwanamke kumuomba mwanaume (boyfriend) wake pesa, au amnunulie chochote inatafasirika hana mapenzi ya dhati ni mchunaji ?