Hii imekaaje wakuu..?

Zekoddo

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
1,863
4,547
Kuna siku nimeenda Bank NMB kutoa kahela kakawaida tu 1,200,000. So nilijaza Bank slip kisha kwenda kwa teller. Matokeo yake yule Bank teller akaniambia kuwa "Kwa kukusaidia kaka katolee ATM ili kupunguza makato"
Sasa nikawa najiuliza kwenda kutoa hela kiasi hicho mikupuo mitatu yaan laki nne kwa kila mkupuo na kutoka teller at once wapi bora.? Sambamba na hilo ATM Kuna foleni kubwa.

Binafsi niliona kanifanyia uvivu tu kunihudumia kwa kwa kahela ni kadogo.
 
Mwalimu wako wa Marketing alikuwa gwiji hasa! Fungua tu PM bosi wangu. Ila uwe makini maana mengine ni madume japo yanatumia ID za kike 😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom