Kuna gari inauzwa for 54,000+ USD lakini ukiangalia kikokotooo cha TRA wameandika CIF yake ni 33,744.72 USD.
Swali langu ni kuwa ukiinunua kwa hiyo bei ya sokoni watatumia kikokotoo chao au watakula na wewe kwenye price yako. na wenye uzoefu mnafanyaje kuagiza cars bila kuathiri utaratibu wa TRA, i mean kama wao system inasema 40,000 USD lakini wewe umenunua 50,000 USD na unataka wakokotoe kwa system yao, yaani 40k USD.