Hii imekaaje wadau wa tra

Candela

JF-Expert Member
Aug 12, 2021
813
2,133
Kuna gari inauzwa for 54,000+ USD lakini ukiangalia kikokotooo cha TRA wameandika CIF yake ni 33,744.72 USD.

Swali langu ni kuwa ukiinunua kwa hiyo bei ya sokoni watatumia kikokotoo chao au watakula na wewe kwenye price yako. na wenye uzoefu mnafanyaje kuagiza cars bila kuathiri utaratibu wa TRA, i mean kama wao system inasema 40,000 USD lakini wewe umenunua 50,000 USD na unataka wakokotoe kwa system yao, yaani 40k USD.
 
Ukitaka kuagiza shurti upige bei ya kununua iwe mara mbili ndipo utaweza kuligusa gari lako.

Alisikika mtu mmoja akitoa ushauri kwa wanaoagiza magari
 
Mkuu unaharibu sasa. Unataka mbinu za vita hadharani. Njoo PM. Moderator futa huu uzi tafadhali.
 
Kuna gari inauzwa for 54,000+ USD lakini ukiangalia kikokotooo cha TRA wameandika CIF yake ni 33,744.72 USD.

Swali langu ni kuwa ukiinunua kwa hiyo bei ya sokoni watatumia kikokotoo chao au watakula na wewe kwenye price yako. na wenye uzoefu mnafanyaje kuagiza cars bila kuathiri utaratibu wa TRA, i mean kama wao system inasema 40,000 USD lakini wewe umenunua 50,000 USD na unataka wakokotoe kwa system yao, yaani 40k USD.
Fafanua tafadhali
 
Watatumia the highest number kati ya system au invoice kwa ajili ya calculation ya kodi.
 
hATA
Ukitaka kuagiza shurti upige bei ya kununua iwe mara mbili ndipo utaweza kuligusa gari lako.

Alisikika mtu mmoja akitoa ushauri kwa wanaoagiza magari
emoji23.png
[e

Watatumia the highest number kati ya system au invoice kwa ajili ya calculation ya kodi.
Na ikitokea nimenunua kwa bei ndogo kuliko iliyo kwenye system yao inakuwaje?
 
Kuna gari inauzwa for 54,000+ USD lakini ukiangalia kikokotooo cha TRA wameandika CIF yake ni 33,744.72 USD.

Swali langu ni kuwa ukiinunua kwa hiyo bei ya sokoni watatumia kikokotoo chao au watakula na wewe kwenye price yako. na wenye uzoefu mnafanyaje kuagiza cars bila kuathiri utaratibu wa TRA, i mean kama wao system inasema 40,000 USD lakini wewe umenunua 50,000 USD na unataka wakokotoe kwa system yao, yaani 40k USD.
Ndio watatumia value ilipo kwaenye kikokotoo Chao, punguza sauti wasikusikie
 
Back
Top Bottom