Tetesi: Hii imekaaje? Anaenionganishia dili anauhitaji kuliko hata mimi! Cheki sms yake.

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,722
1,965
"kaka vp ule mpango mbona kimya au nimuumganishie mwingine?"

Hata maisha ya kuonganishiana michongo ya kazi inaharufu ya utapeli. Of course jamaa ni kweli mzee wa madili lakini the way anayo tuma sms inanistua kuona anataka kunivuna vya mfukoni mwangu.

Je, umewahi kukumbana na kisanga cha aina hii vip kazi ulipata? Je ulimtumia salio muonganisha dili? Asante.
 
Nilimpa jamaa yangu (ndugu) akamuunganishie dogo ambaye ni ndugu yangu pia,leo ni zaidi ya miezi 2 hata mrejesho hakuna. Yeye mwenyewe mbishe hana. Nililijua hili lakini nikaona nisipompa huyu dogo ataona nambania.
 
Back
Top Bottom