Nimekuwa nasikia kipindi sasa kuwa mfumo wetu wa kurusha matangazo kwa televisheni upo katika mchakato wa kupadilika kutoka analogi tulio nao sasa kwenda mfumo mpya wa digital, mfumo utakaofanya tv tunazo tumia sasa kushindwa kupokea mawimbi ya digitali kwavile tv hizi hupokea mawimbi ya analogi tu.
Na ukipita maduka ya kielektroniki utakuta tv hizi zinazidi kushuka bei kadri siku zinavyo kwenda.
Tume ya mawasiliano imeweka muda maalum kwa tv stasheni kuhakikisha hadi muda huo ziwe tayari kurusha digitali na si analogi tena.
Hebu nitoeni ushamba kidogo mbona tv hizi tukiwa na ving'amuzi tunakula machaneli ya nje kama cnn, supa spoti, bbc, emnet nk, kwa kutumia tv hizi hizi? hii inamaana wenzetu nao bado wanatumia analogi.
Napata shida kidogo kuelewa hasa baada ya kusikia tusinunue tena tv hizi kwani muda mfupi ujao zitageuka mabox yasio na kazi