ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 58,816
- 69,503
Mtu akikuuliza ni miradi gani ya Maendeleo Inayotekelezwa na Rais Samia Tanzania,jibu lake ni rahisi sana.
Miradi ni countless na unaweza itaja vizuri Kwa kuangalia Mkoa mja baada ya mwingine.
Naendelea na makala zangu za kuweka orodha ya miradi mikubwa iliyokamilishwa na inayoendelea kujengwa na Serikali ya Samia.Leo ni zamu ya Ruvuma.
Ruvuma mumependelewa sana na mama labda Kwa sababu mna viongozi wengi sana Kwenye Serikali yake.
Ifuatayo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa ambayo Inatekelezwa Mkoani Ruvuma.
-Ujenzi wa Barabara Mpya kutoka Songea-Ifakara via EPC+F
-Ukarabati wa Barabara ya Songea-Makambako
-Ujenzi wa barabara Mpya ya lami Songea-Amanikoro-Mozambique Border
-Ujenzi wa barabara ya lami Kitai-Lituhi-Ndumbi Port
-Ujenzi wa Majengo ya Utawala kwenye Halmashauri zote
-Ujenzi wa Bandari Mpya ya Mbamba Bay
-Ujenzi na ufungaji wa taa uwanja wa ndege Songea
-Ujenzi wa barabara za Manispaa Kupitia Tactic Songea MC na Mbinga TC
-Ujenzi wa Chuo Kikuu kipya Cha Songea
-Ujenzi wa Tawi la Chuo Cha Uhasibu Cha Arusha- Songea
-Ujenzi wa Hospital za Wilaya,Vituo vya afya na ukarabati wa hospital kongwe
-Ujenzi wa Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma
-Ujenzi wa njia ya Umeme wa 220KV kutoka Songea-Tunduru pamoja na Tunduru Substation
-Ujenzi wa Mradi mkubwa wa Maji Manispaa ya Songea ,over 145bln
-Ujenzi wa Mradi mkubwa wa Maji Mbinga
-Ujenzi wa Standing Mpya ya Mabasi Peramiho
-Ujenzi wa maghala ya kuhifadhia mazao.Zaidi ya maghala ya Kisasa 12 yanajengwa na Ruvuma ndio Ina maghala mengi Tanzania nzima.
-Ujenzi wa kongani ya viwanda Songea
-Uwekezaji wa mashamba makubwa ya kibiashara-Block farming
-Ujenzi wa Shule Mpya 23 za Sekondari.
-Ujenzi wa kiwanda Cha Sukari Songea,zaidi ya Bil.500
RUVUMAMradi wa ujenzi wa laini ya msongo wa 220kV kutoka Songea hadi Tunduru na ujenzi wa Kituo cha kupozea umeme cha Tunduru unaendelea kutekelezwa ambao unahusisha ujenzi wa Kilomita 214.5 za laini ya msongo wa Kilovolti 220kV na kituo cha kupozea umeme cha Tunduru.
Kiufupi Mama anakimbiza sana Kwenye miradi na ndio maana nasema siku zote hakuna Rais amewahi kumwaga miradi Mingi ya Maendeleo Kwa Wingi kama Samia Toka Tanzania imeumbwa na Iko hivyo Nchi nzima.
Mungu mbariki Samia Ili kazi iendelee 👇
View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1746504842749632995?t=Cs7I_RkzdhJAnAvXxh_IdQ&s=19