Hii Draft imetulia sana!

hapo kuingia kingi kwa draft hii unakula mbele na nyuma, ndio utaona draft ilivyo.
umepakua wapi hiii?
 
Hii draft ukitaka uone ni nzuri labda mcheze french kula kete mbele na nyuma vinginevyo sijui
 
Huyo unaweza ukute yupo kwenye dose. Kwamaana wanawake wengi wakisha anza kula dose huwa wananawili sana.
 
Mabata madogo madogo yanaogelea katika shamba zuri la bustani.............................
 
Nianzapo kucheza drafti huwa naamua tu kuwa sasa niache vinginevyo jua linazama mpaka linachomoza hayupo wakunishinda... Dadadeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…