Hii cover ya wimbo wa roho wa Christian Bella (ft Fid Q) aloifanya TGUN TOZZY kwenye BSS imenikumbusha miaka ile Lil Wayne kwenye MTV UNPLUGGED

kali linux

JF-Expert Member
May 21, 2017
2,170
5,628
Hello bosses and roses,

Huyu dogo TGUN TOZZY ni complete package ya perfomer. Jamaa anaweza kutengeneza vibe fln kwenye rap ambalo wachache tu huweza kufanya.

Nimeona cover ya Roho (christian bella ft fid Q) ilofanywa na TGUN na mwenzake aisee imenikumbusha mbali sana enzi hizo za MTV Unplugged, vibe la Lil Wayne akiperform SIX FOOT SEVEN FOOT na DROP THE WORLD.



TGUN akipata label na management nzuri atafika mbali sana, na pia naona ana potential ya kubadili au kuchanganya style, kwa kizazi chake na kipaji chake namuona kama Rema wa Naijeria, Rema kafika mbali sababu kuna nguvu kubwa nyuma yake, huyu nae akipata support namuona mbali sana.
 
Back
Top Bottom