Hii Couple ya RC Gambo ni kiboko...Wanafanana!!

Actually wanasaikolojia wanaamini kuwa mtu anapotafuta mwenza hutafuta mtu anayefanana fanana naye kwa sababu ni kawaida kwa mtu kujitumia mwenyewe kama kigezo cha uzuri. Hii mara nyingi inatokea sub consciously na japo mara nyingi yaweza kuishia katika ufanano wa tabia na traits zingine, wakati mwingine inavia mpaka kwenye mwonekano wa sura na mengineyo.

All in all beautifu couple!
 
Yeah! Beautiful couple!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…