Hii barabara ya Kiwalani viwandani kwa Mo ni kansa

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
3,716
2,215
Wadau hii kitu inakera sana jamani watumiaji wa hii barabara kwa kero ni shiida
Miaka nenda rudi hakuna mpangilio magari yanapaki barabarani kama hivyo, tafadhari wenye zamana wasaidieni watu wa huku.

 
Jipu Ingawa Hiyo Miaka Yote Iko Hivyo Hivyo Na Huo Utaratibu Mbovu Wa Uegeshaji Magari.
Dar Kuna Kero Sana Barabara Ya Sinza Kuanzia Kijiweni Imeharibika Sana Na Ni Kero Hata Kupita Kwa Daladala/Gari Binafsi Na Ile T/Kimanga Zinafanana Mno
Japo Ukweli Jiji Lina Shida Karibu Sehemu Nyingi Sana
 
Nilifikiri haipitiki kwa ubovu kumbe magari kuegeshwa barabarani hilo tatizo dogo sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…