'High heels' zinaniwewesesha...

Malingumu

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
616
429
za wikend...
jamani nimeamua kuandika hili maana ni haki yangu kikatiba kueleza hisia zangu..

.
Mwenzenu mimi huwa nachanganyikiwa sana nikimuona mwanamke amevalia viatu vya namna hii..sijajua huyu aliyegundua mtindo huu wa kiatu kupanda juu kwa nyuma aliwaza nini...ila bila shaka aliona kuna namna fulani aliona mwanamke akivalia high heels anakuwa sex ukilinganisha na akivaa flat(sometimez).
.
.
Hali yangu hiyo ya kuchanganyikiwa huwa mbaya zaidi hasa ninapoona aliyevaa kiatu hicho ana mguu fulani hivi wa mvuto(mzuri,mnenenene kidogo)halafu awe ana rangi ya kati ya weupe na weusi(watoto wa mjini wanaita 'chokoleti').
.
Sijajua kwa nini napendezwa sana na style hiyo...ila naamini kila mtu ana udhaifu wake...pengine labda udhaifu wangu upo hapo.
Nasemaje: Pongezi nazipeleka kwa yeye aliegundua kuwa mwanamke akivaa kiatu ambacho kimeinuka kwa nyuma itaongeza mvuto..
.
.
(akili za jumamosi)



 
Mimi mwanamke akivaa ndala nadata kabisa na akinikubalia naweza funga ndoa nae siku hiyo hiyo.
 
Ni kweli high heels zinaongeza mvuto wa mwanamke kutokana na mwendo wake akiwa amezivaa. Hata mi huwa nazifagilia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…