Hezbollah ilisubiriwa kuingia kwenye vita, kiongozi wao kabwatuka mikwara kisha kaenda kulala zake

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,285
50,552
Itakua kuna mtu kamtonya kiongozi wa Hezbollah kwamba kwa sasa Israel wana hasira isiyo na kifani na kujaribu ugomvi nao ni kujitakia kipigo cha mbwa, walisubiriwa watangaze vita, nyuzi zikaanzishwa humu, mzee wa watu alipopewa mic atangaze vita, akabwatuka mikwara kisha muda wa kulala ulipofika akaenda zake.

Ifahamike kwa sasa hakuna taifa au kundi lolote linalotaka kujiingiza kwenye huu ugomvi, hata kubwa la magaidi ya dini, Iran, limeogopa na kukaa pembeni, kwa sasa HAMAS wako wenyewe na picha za satellite zinaonyeshwa Gaza imezingirwa kote.....

Hivi waarabu wa Bongo waliandamana jana?

ai2html-graphic-mobile375.11af033c.png

For weeks, Lebanon was preparing for war. People spoke about their backup plans in hushed tones. The government said it was putting together contingency supplies for the public’s basic necessities.

It all hinged on Hezbollah Secretary General Hassan Nasrallah’s thinking about the Hamas-Israel war, which he kept close to his chest before breaking his nearly month-long silence about October 7 on Friday.

In a fiery speech from an undisclosed location, the reclusive head of the Iran-backed Lebanese militant group heaped praise on Hamas and hailed the war as a “turning point” in the Arab-Israeli conflict. He extolled the virtues of the weekslong cross-fire with Israel on Lebanon’s southern border, which he described as an “unprecedented battle.”

He also said Hezbollah would be "prepared for all scenarios,” and that any escalation by the Israeli army at the border would be a "historic folly" that would prompt a major response.

Yet for all the tough talk, Nasrallah was not banging war drums. He said Hezbollah’s “primary goal” was to achieve a ceasefire in Gaza, and said it was incumbent on the US — which he held directly responsible for the bloodshed in the Palestinian enclave — to implement the cessation of hostilities.

What this tells us is that Nasrallah’s immediate plans do not include a broader conflict.

This may come as a disappointment to many in the Arab street. When the pro-Palestinian demonstrations washed over much of the region in recent weeks, many of the chants called on Nasrallah to go to war.

But it will be a relief to Israel’s Western allies, who fear a wider regional conflict and have repeatedly warned Nasrallah not to enter the fray. Two US aircraft carriers — including the nuclear-power USS Gerald Ford — were dispatched to the Mediterranean in an apparent bid to deter Hezbollah.

That relief will be shared by many in Lebanon. The tiny eastern Mediterranean country has barely recovered from the devastating economic crisis of 2019, and much of the population — while horrified by the soaring death toll and widespread destruction wrought by Israel’s offensive in Gaza — has been worn down by decades of war and crises.

Nasrallah may have been restrained by that popular sentiment, or he may have concluded, after weeks of deliberation, that his powerful paramilitary has too much to lose in a war with Israel.
 
Hezbollah leader amesema all possibilities still open in hostilities with Israel.

Kwanza lazima ufahamu Hezbullah huwa haingi tu total war sababu wao si kama Hamasi wapo wanawatu wao katika parlment ya Lebanin.

Saud Arabia, Qatar, UAE, Jordan na America wamewatia pressure serekali ya Lebanon wasimruhusu Hezbullah aingie vita kwa kuwapa guarantee 💯 America hataki vita iendelee na Natanyahau ataondoka kwenye kiti.

Lazima ufahamu Hezbullah pia huyu Rais aliyopa madarakani Lebanon kwa sasa ni mtu wao, hawataki kumkera, pili Saud Arabiana Qatar na UAE wemewambia serekali ya Lebanon watawapa pesa wahakikishe wanamtia pressure Hezbollah asingie hi vita.

Alicho wambia atasubiri aone kama Israel na America wanaendelea na hi vita kuwauwa watoto na wanawake basi hana guarantee ya kuwapa hata ingia hi total war.

Lazima ujuwe nyuma ya pazia America alikuwa anabembeleza nchi za kiarabu ziwasemeshe Lebanon wamtie pressure Hezbullah asingie hi total war na Israel sababu America hataki vita
 
Haya mapicha yatawasaidia nini, jana mlituaminisha mtatangaza vita, mumeambulia kupachika mapicha humu na mzee wenu wa hezbollah kalala zake.
Yaani Lebanon inabidi iwe makini sana maana ikijichanganya itafanywa shamba, Israel wapo kwenye harakati za kuhakikisha hili tatizo limetatuliwa kwa miaka 100 ijayo.
 
Hezbollah leader amesema all possibilities still open in hostilities with Israel.

Kwanza lazima ufahamu Hezbullah huwa haingi tu total war sababu wao si kama Hamasi wapo wanawatu wao katika parlment ya Lebanin.

Saud Arabia, Qatar, UAE, Jordan na America wamewatia pressure serekali ya Lebanon wasimruhusu Hezbullah aingie vita kwa kuwapa guarantee America hataki vita iendelee na Natanyahau ataondoka kwenye kiti.

Lazima ufahamu Hezbullah pia huyu Rais aliyopa madarakani Lebanon kwa sasa ni mtu wao, hawataki kumkera, pili Saud Arabiana Qatar na UAE wemewambia serekali ya Lebanon watawapa pesa wahakikishe wanamtia pressure Hezbollah asingie hi vita.

Alicho wambia atasubiri aone kama Israel na America wanaendelea na hi vita kuwauwa watoto na wanawake basi hana guarantee ya kuwapa hata ingia hi total war.

Lazima ujuwe nyuma ya pazia America alikuwa anabembeleza nchi za kiarabu ziwasemeshe Lebanon wamtie pressure Hezbullah asingie hi total war na Israel sababu America hataki vita

Hezbollah leader amesema all possibilities still open in hostilities with Israel.

Kwanza lazima ufahamu Hezbullah huwa haingi tu total war sababu wao si kama Hamasi wapo wanawatu wao katika parlment ya Lebanin.

Saud Arabia, Qatar, UAE, Jordan na America wamewatia pressure serekali ya Lebanon wasimruhusu Hezbullah aingie vita kwa kuwapa guarantee 💯 America hataki vita iendelee na Natanyahau ataondoka kwenye kiti.

Lazima ufahamu Hezbullah pia huyu Rais aliyopa madarakani Lebanon kwa sasa ni mtu wao, hawataki kumkera, pili Saud Arabiana Qatar na UAE wemewambia serekali ya Lebanon watawapa pesa wahakikishe wanamtia pressure Hezbollah asingie hi vita.

Alicho wambia atasubiri aone kama Israel na America wanaendelea na hi vita kuwauwa watoto na wanawake basi hana guarantee ya kuwapa hata ingia hi total war.

Lazima ujuwe nyuma ya pazia America alikuwa anabembeleza nchi za kiarabu ziwasemeshe Lebanon wamtie pressure Hezbullah asingie hi total war na Israel sababu America hataki vita

Unatumia nguvu nyingi kuwatetea hao Hezbollah ilihali jana mlimiminika humu mkituambia wataanza vita, iwaingie akilini kwa kinachofanywa Gaza ni fundisho kwa Lebanon na waarabu wote, wameufyata hakuna atakayethubutu.
Israel wanatumia Gaza kutuma ujumbe kwenu nyote na maugaidi yenu... Muendelee kuchinja Wakristo na watu wa dini zingine ila kwa Myahudi mkae mbali naye, hana huruma, ana roho ngumu tena mnyama, anapasua watoto kwa mabomu aisei hadi iliniuma mimi.
Kuna video moja ukiitazama kama hutokwi machozi wewe ni hodari....
 
😄 we jifurahishe tu lazima ufahamu Hezbullah hamuogopi Israel na America, pili Hezbullah jana kampa warning Us na Israel kuwa hawapi guarantee 💯 hata ingia total war.

Unafahamu sababu gani? Kwanza America kawapa guarantee kuwa atawakataza Israel wasiuwe civilian, pili hataki vita kwakuwambia serekali ya Lebanon wamtie pressure Hezbullah asingie hi total war.

Kitu kingine Hezbullah wamesema hawataki kwa sasa kuingia total war na Israel sababu wanamini Israel hawezi kumshinda vita Hamasi na hawezi kurudisha hao matekwa hata afanye vipi.

Wataingia total war kama Israel ataendelea kuwapiga civilian wasio na hatia.

Hezbullah leader kauliza maswali mawili muhimu sana Je Israel kapata kitu gani katika hi vita.

Cha kwanza Hamasi bado wanamrushia missiles kama kawaida kwa hio kwenye mambo ya askari hakuna alichofanya.

PILI hao matekwa karudisha hata mmoja? Hakuna.

Gaza kaingia hajaingia sasa hi vita kapata nini zaidi ya kuwapiga watoto, wanawake na kuvunja majumba na magari hata ambulance huyu ndio super power 😄
 
😄 we jifurahishe tu lazima ufahamu Hezbullah hamuogopi Israel na merica, pili Hezbullah jana kampa warning Us na Israel kuwa hawapi guarantee 💯 hata ingia total war.

Unafahamu sababu gani? Kwanza America kawapa guarantee kuwa atawakataza Israel wasiuwe civilian, pili hataki vita kwakuwambia serekali ya Lebanon wamtie pressure Hezbullah asingie hi total war.

Kitu kingine Hezbullah wamesema hawataki kwa sasa kuingia total war na Israel sababu wanamini Israel hawezi kumshinda vita Hamasi na hawezi kurudisha hao matekwa hata afanye vipi.

Wataingia total war kama Israel ataendelea kuwapiga civilian wasio na hatia.

Hezbullah leader kauliza maswali mawili muhimu sana Je Israel kapata kitu gani katika hi vita.

Cha kwanza Hamasi bado wanamrushia missiles kama kawaida kwa hio kwenye mambo ya askari hakuna alichofanya.

PILI hao matekwa karudisha hata mmoja? Hakuna.

Gaza kaingia hajaingia sasa hi vita kapata nini zaidi ya kuwapiga watoto, wanawake na kuvunja majumba na magari hata ambulance huyu ndio super power 😄
Wewe ni kichaaa. Moto anaopelekewa hamas huuoni.? Pole saana
 
Wewe ni kichaaa. Moto anaopelekewa hamas huuoni.? Pole saana
We mimi siwezi kuwa kichaa kwanza sijawahi ita Mungu binadamu, sijawahi kushangilia nchi ikauwe watoto na wanawake wasio na hatia ni hesabu wanajeshi 😄 We ndio kapime akili zako vizuri.

Wenzako wanakimbia Gaza na vyombo vya habari vya Israel vinalalamika Hamasi Hamasi mpaa wanauliza hio Iron dome inafaida gani, we si Muisrael sikia basi wenzako wanavyo lalamika

View: https://youtu.be/1zifuCE-wzI?si=39hztvnk1Rct-l1Q

Hajakosea Yesu kuwaita Kondoo walio potea na wewe kondoo tu kama wao.

Vita si kuvunja majumba, na magari ya ambulance, kuwauwa watoto. Wanawake, wagonjwa et Israel anapeleka moto.

Hamasi wanaume mtaishia kuimba nyimbo tu kanisani wanaume wameshikilia matekwa hata mmoja mmeshindwa kuchukua afu mnajidai Hamasi tutaisafisha inataka wanaume kuisafisha Hamasi si mashoga hata wasaidiwe na US, UK, Ukraine, Canada, France, Italy, United Arab Emirates. Jordan, Germany afu mnajidai Israel super power labda super power wa kishoga.
 
Wale ndugu zangu wananifurahisha sana... Vijana wao wakifanya ka-comeback wanashangilia na kutaka waendelee kutoa dozi... Wakipasuliwa wanakimbilia Oooh Free Palestine.... semeni Free Gaza from Hamas!
Hebu wambie Israel watuonyeshe basi wamefika Gaza na wameisha warudisha matekwa?

Yani kama si usenge hu ni kitu gani una jeshi karibu watu 350,000 una vifaru ambavyo vina cost kimoja zaid ya mamillion, air force za kila aina, Navy na support kutoka America, Europe na nchi za Kiarabu Egypt, Jordan, UAE na bado hata matekwa mmoja hamjamrudisha kwa kutumia ule mnauita u super power wenu 😄

Tunacho ona watoto wengine hata hawafiki siku 10 wameuliwa na boom lina cost mamillion kweli akili Mali afu wengine mnaona Hamasi wamejificha nyuma ya mtoto 😄 Ukristo kweli ni ujinga nyie na baniani hamna tofauti wale wanabudu ngombe nyie binadamu

Yesu kachukua dhambi zako au ✨
 
Back
Top Bottom