Udart
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 298
- 374
Kwema. Jamani kama Kuna watu wanavuta HEWA CHAFU hapa Dsm basi ni hawa watu wa mabibo mwisho hasa karbu na stendi Kwa ambao ambao hawajafika hili eneo Lina bwawa la maji taka Kuna mabwawa makubwa mawili aisee yanaleta harufu Kali sana sasa ukitembea maneno karbu na hata mabwawa stendi ya mabibo yote
Kuna harufu Kali sana haivumiliki lkn nashangaa pemben mama ntilie mishkaki inachomwa kama kawaida mi kama wameshazoea .
Mi nashauri serikali ijarbu kuweka miundo mbinu hata kuyatia Yale maji machafu kemikali Ili kupunguza harufu Kali mazingira Yale hayafai kwa makazi ya watu ndio chanzo Cha kuleta kipindu pindu.