Aljazera JF-Expert Member Feb 11, 2015 637 224 Jan 1, 2016 #1 Wakuu nawatakieni Member wote Heri ya Mwaka Mpya 2016 na Mungu atutangulie.
Miiku JF-Expert Member Oct 8, 2014 3,835 2,642 Jan 1, 2016 #6 Ahsante Mkuu ni Neema kubwa sa.a kuchaguliwa.
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 284,323 738,473 Jan 1, 2016 #7 Pamoja nawe na members woooote wote bila kumsahau mkewangu kipenzi sana...A very unique woman @Angel Nylon
Pamoja nawe na members woooote wote bila kumsahau mkewangu kipenzi sana...A very unique woman @Angel Nylon
Apologise lady JF-Expert Member Sep 16, 2013 5,979 3,104 Jan 1, 2016 #16 Nawe pia mkuu, 2016 iwe ya baraka na mafanikio.
M MINOCYCLINE JF-Expert Member Apr 2, 2015 8,018 16,801 Jan 1, 2016 #17 Aljazera said: Wakuu nawatakieni Member wote Heri ya Mwaka Mpya 2016 na Mungu atutangulie. Click to expand... asante nawe pia bila kusahau na members wote wa JF, moderators pamoja na waanzilishi wa JF akina Melo na Mushi kwa ujumla kila mmoja wenu awe na mwaka mpya huu 2016 mwema ulio na mafanikio na fanaka.
Aljazera said: Wakuu nawatakieni Member wote Heri ya Mwaka Mpya 2016 na Mungu atutangulie. Click to expand... asante nawe pia bila kusahau na members wote wa JF, moderators pamoja na waanzilishi wa JF akina Melo na Mushi kwa ujumla kila mmoja wenu awe na mwaka mpya huu 2016 mwema ulio na mafanikio na fanaka.
Kapyungu A JF-Expert Member Jul 8, 2015 3,499 3,161 Jan 1, 2016 #18 Ni kwa neema tu. Heli na kwako mkuu
M MINOCYCLINE JF-Expert Member Apr 2, 2015 8,018 16,801 Jan 1, 2016 #19 mshana jr said: Pamoja nawe na members woooote wote bila kumsahau mkewangu kipenzi sana...A very unique woman @Angel Nylon Click to expand... naona watu mmeanza mwaka mpya kwa " kufunguka " zaidi. safi sana!
mshana jr said: Pamoja nawe na members woooote wote bila kumsahau mkewangu kipenzi sana...A very unique woman @Angel Nylon Click to expand... naona watu mmeanza mwaka mpya kwa " kufunguka " zaidi. safi sana!