Mleta uzi umepata divisheni 3 ya kubebwa basi kila kitu unawashwa tu unafkiri we pekee ndo utaenda chuo.
Kuna mademu wazuri amlafu wamepata div 1.3 hata hawajui chuo ni lini!
Jiangalie sana maana kwa huyu Ndalichako unaangukia VETA Singida ama Chuo cha Ufugaji nyuki Tabora.
Mwaka huu div 1,2 pekee mdo zinakwenda chuo kikuu.