Heri ya Christmas na Mwaka Mpya 2024

Merry christmass mheshimiwa, Tunakutakia majukumu mema ya kulijenga Taifa. πŸŽ„πŸŽ„
 
Mh, ukipata nafasi na muda mzuri naomba ujaribu kutoa Elimu kuhusu matumizi ya TV hasa Kwa watoto wadogo kuanzia 1-18 years , TV imekuwa chanzo cha kushuka na kuharibika Kwa Akili miongoni mwa watoto, Elimu itolewe Kwa ukubwa.
 
Mh, ukipata nafasi na muda mzuri naomba ujaribu kutoa Elimu kuhusu matumizi ya TV hasa Kwa watoto wadogo kuanzia 1-18 years , TV imekuwa chanzo cha kushuka na kuharibika Kwa Akili miongoni mwa watoto, Elimu itolewe Kwa ukubwa.
Sawa nimepokea maoni yako, tunatarajia na kuzindua jambo kuhusu hii ajenda January 2024.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Hongera na Asante Dokta, Mama, Waziri, Mheshimiwa

Nimefurahi kupata ujumbe japo nilikuwa sifahamu kama upo humu ,

Lakini ikimpendeza Mungu wakati X mass ikiendelea vyema, Mimi kijana wako sijui leo Siku nakula nini kwa uwezo hata ukinibariki na 100,000/- Tsh sina cha kukulipa lkn nitakushushia Maombi tu Mungu akuangaze zaidi... ubarikiwe.
 
Na kwako pia Mh.

2024 iwe na baraka sana kwako na familia yako yote. Mungu azidi kukusaidia ktk kutimiza majukumu yako kwa haki, uzalendo, upendo, pasi na ila wala inda.
 
ikimpendeza Mungu wakati X mass ikiendelea vyema, Mimi kijana wako sijui leo Siku nakula nini kwa uwezo hata ukinibariki na 100,000/- Tsh sina cha kukulipa lkn nitakushushia Maombi tu Mungu akuangaze zaidi... ubarikiwe.

Yaani unamwona tu humu kwa mara ya kwanza unampiga mzinga wa 100,000 halafu unaiita "hata" wakati sisi tunaye mara nyingi humu JF kwenye mijadala.

Epuka kutumia neno "hata" unapomwomba mtu hela maana hapo unamaanisha ni ndogo wakati huo pengine unayemwomba kwake ni kubwa.
Mwisho wa siku mtatukimbizia waziri wetu humu JF kwa ajili ya kumwomba hela.
 
Punguza njaaa Mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Duh

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…