Help: BOOTMGR not found, press Ctrl + Alt + Del to restart..!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,133
21,902
Salam wakuu,
Natumia windows 7, sasa leo nilidownload norton partition magic ambapo baada ya kufanya installation nikajaribu kurun lakini ikawa inakataa (compatibilty issues). Nilijaribu kurun compatibility wizard nakuset niwe nairun kama natumia windows xp srvc pack 2. Baada ya hapo ilikubali lakini suddenly screen ikawa blue na maneno fulani ya errors. Nilipojaribu kurestart ndio inaniletea hiyo error hapo juu ambapo kila nikizima nakuwasha ni hivyo hivyo. What should I do to fix? Thanx in advance.
 
Mie nadhani kabla haujafanya hivyo kwa kuwa umefanya kitu ambacho hujajua umefanya nini hivyo basi ni bora utafute fundi akusaidie maana unawezakuishia kupoteza data zako zote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom