Helicopter zinasafirisha nini muda huu Dar?

Naona zinazuia post na comments kwenye mitandao
 
Kuna kipindi nikiwa dar niliona msafara wa ndege kubwa zipo kama boing kama 10 hivi zina rangi kama ya kijivu kama za jeshi ila naamini zitakuwa za jeshi ila siyo la Tanzania! nilitaman kujua zimebeba nini
 
Nimesikia kuna helicopter imeanguka huko gongo la mboto na majeruhi wamepelekwa hospitali ya temeke.
 
Itakuwa zimebeba askari, silaha na Bashite wao wakitafuta kituo kingine wakivamie!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…