Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,568
- 4,970
Hili hekalu la mbingu duniani linaanza kuwa tishio kwa akina mwamposa.
Huyu profet upepo unavuma kuelekea kwake.
Hivi hawa waumini hasa wanawake ni hao hao wapo na makanisa mengine ama wao wanajitegemea tu. Yaan hakuna intersection ya waamini na madhehebu wanayohudhuria.