Hebu weka mchango wako hapa!

Bornventure

JF-Expert Member
Jan 29, 2017
529
523
Kwenu wajuvi wenye uelewa wa lugha na mila za kitanzania hebu tafadhari nijuzeni kuna maana gani mtu akisema KINYAGO TUKICHONGE WENYEWE NA KUKIWEKA SEBULENI ALAFU KITUTISHE??
 
Sawa na kusema "kuku wakwako mwenyewe manati ya nini?" Mfano: tume ya uchaguzi kaichaguwa mwenyewe raisi, anaogopaje kushindwa?
 
Kwenu wajuvi wenye uelewa wa lugha na mila za kitanzania hebu tafadhari nijuzeni kuna maana gani mtu akisema KINYAGO TUKICHONGE WENYEWE NA KUKIWEKA SEBULENI ALAFU KITUTISHE??
mh Msukuma kajionelea kama noma na iwe noma bana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…