Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,382
- 18,246
Habari wadau. Naomba kufahamu zaidi kuhusu hii gari kwa maana sijaona nyuzi nzuri za kuielezea kwa undani.
Je, huwa zinachangamoto gani kimatumizi?
Naiskia huwa inaleta shida katika mfumo wake wa DFP kwa hizi zinazotumia mafuta ya diesel. Je suluhisho lake ni lipi?
Nasikia zipo vema eneo la mafuta consumption both za petroleum na za Diesel.
Hebu nipeni madini.