Unapenda shikamoo sana mkuu live ur life,,it's ur choice umsaidie au laaSs kusalimia ni shobo????,
Na wewe mlipe mnato. Shida yenu mnaabudu mtu mimi mtu akiniepuka namuepuka na shari zake milelee, fomu yke ikikufkia wee sema kivzr tu aisee siko vzr naomba mnisamehe kwa hili next time bax na usitake kujua hbr zake wala salamu yke. Au ni boss nini unahofia ajira???Za jioni ndugu zangu ningependa kufahamu kama nakosea ktk hili,kwa mfano nyinyi ni vijana na mnafanya kazi sehemu moja lakini anajitokeza mfanyakazi mwenzenu anakuwa na vijitabia vya ajabu,hasalimii wenzake wala kuzungumza yaani ni mtu flani ananata,ila anao wasalimia hawazidi hata 20 halafu mtu huyo huyo anapata tatizo anapitisha form ya mchango,na anayefanya hivyo ni mtoto wa kiume,hebu niambie ktk hili ushawahi kutana na mtu kama huyo???????.
Sio boss ni mtu wa kawaida na niNa wewe mlipe mnato. Shida yenu mnaabudu mtu mimi mtu akiniepuka namuepuka na shari zake milelee, fomu yke ikikufkia wee sema kivzr tu aisee siko vzr naomba mnisamehe kwa hili next time bax na usitake kujua hbr zake wala salamu yke. Au ni boss nini unahofia ajira???
Mwenye ajira mwenyewe anacheka na kila mtu.Na wewe mlipe mnato. Shida yenu mnaabudu mtu mimi mtu akiniepuka namuepuka na shari zake milelee, fomu yke ikikufkia wee sema kivzr tu aisee siko vzr naomba mnisamehe kwa hili next time bax na usitake kujua hbr zake wala salamu yke. Au ni boss nini unahofia ajira???
Nimeshamzoea kaka coz huu ni mwaka wa 3 nipo nae.Kuna watu ni wakimya by nature, kuzoeana nao huchukua muda mrefu sana, hata hao anaowasalimia labda mwanzo nao walimwona kama unavyomwona ila kadri muda uendavyo taratibu mnaweza zoena na zile fikra hasi unaweza zifuta.
Nnachomaanisha hapa watu wapo tofauti, kuna aina ya watu akija sehemu fulani iwe mtaani, ofisini, kijiweni, haitamchukua hata siku 3 unakuta amezoena na kila mtu, ila kuna aina ya watu ni tofauti wengine hata miezi 6 ndio kidogo mnazoeana.
kuhusu mchango fuata moyo, kama hujisikii potezea.