Hebu leo tukumbushane juu ya wanasiasa wa upinzani wasaka tonge.

jadide

Member
Jun 7, 2017
55
50
Tangu kuingia mfumo wa vyama vingi nchini tutakumbuka kuwa kulikuwa wanasiasa wa upinzani wenye vipaji vya kuongea na wapangiliaji wazuri wa kuisema serikali ya chama tawala lakin mwisho wa siku ccm ikatangaza offer kwao na wakaamua kutoka upinzani na kurudi ccm huku wakituachia maumivu makali watu tunaopenda mageuzi mimi nakumbuka wachache kama kuna mnaowakumbuka wengine sio tukikumbushana juu ya hawa wanasiasa wasaka tonge.
Harold kaburu
Tambwe Hiza
Pro. Lipumba
Hamad Rashid
Fred mpendazoe
John Shibuda
Frank magoba
Juliana shonza
Dr. Slaa
Steven Wasirra
Lyatonga Mrema
Anna mgwira
Pro. Kitila Mkumbo
Shaibu Akwilombe
Makongoro Nyerere




Hebu tajeni wengine tuwajua wasaka tonge woote.
 
Mkuu hivi shaibu akwilombe yukwapi??? Umenikumbusha mbali sana alivyosaliti mabadiliko na kukimbilia CCM eventually
 
Kuna mtu anaitwa msabaha..huyu bwana anawazidi wote hao...watu wa cuf wanamjua vizuri sana huyu..anastaili yake flan amazing ya kujifanya kutekwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…